Binti yake wa miaka kumi na minne alipoanza kuzungumza na vijana wengine kwenye mtandao, mama yake hakuwa na wasiwasi sana. Lakini wiki chache tu baadaye, Christina (sio jina lake halisi) aligundua ...
Baada ya mtoto wa miaka sita kuuawa kwa kupigwa risasi nchini India mwaka jana, wazazi wake walifanya chaguo nadra nchini humo kutoa viungo vyake. Licha ya kutarajiwa kuipita China mwaka huu kwa kuwa ...
Ijumaa ya leo nimeona ni heri nitumie maisha ya binti yangu Angel Wanjiru kama njia ya kuwapa moyo katika safari hii ya maisha. Safari ya maisha huwa na panda shuka sio haba, na ndio maana ni sharti ...