Dhoruba kubwa ya theluji yenye upepo mkali inatarajiwa kuyakumba maeneo ya kando ya Bahari ya Japani, huku theluji ...
Japani iko katika hali ya baridi kali. Mamlaka zinaonya juu ya uwezekano wa kutatizika kwa usafiri Hokkaido utakaosababishwa na theluji nyingi na dhoruba za theluji.
Maelfu ya wakaazi wamekimbia makaazi yao kando ya bahari ya Pasifiki nchini Ufilipino wakati dhoruba ya kitropiki Fengshen ikitua na kusababisha tahadhari ya mafuriko katika pwani. Maelfu ya wakaazi ...