Linapokuja suala watu maarufu katika tasnia ya muziki, mashabiki wao hutegemea kuona shughuli kubwa za wasanii hao zikiwa hadharani na pengine zikisimamisha shughuli za nchi. Kama ndoa ya hivi ...
Mwanzoni, Movumbi Ndzalama alikuwa akishangaa sana kuhusu utamaduni wa kuwa na ndoa ya mtu mmoja, akikumbuka alikuwa akiwauliza wazazi wake, kama wanaweza kuwa pamoja katika maisha yao yote. "Nilihisi ...