Nyota maarufu wa nyimbo za Classic Andrea Bocelli amefanya tamasha wakati huu wa pasaka huko Milan na kuimba peke yake katika kanisa maarufu la mji huo. Tamasha hio kwa jina Music for Hope, ...