Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Dar es Salaam. Kocha wa makipa, Ally Mustapha 'Barthez', amejiunga na Singida Black Stars baada ya kukaa nje tangu Desemba mwaka jana, alipoachana na TMA Stars ya Arusha. Barthez, aliachana na TMA FC, ...
Dar es Salaam. Licha ya Bunge kuidhinisha fedha za kutunisha mfuko wa maendeleo ya vijana kwa mwaka wa fedha 2025/26, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imebaini Serikali ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia sherehe ya maadhimisho ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na ...
Morogoro. Serikali imesema inachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto ya mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Morogoro, ikiwamo kata za Kihonda na Lukobe. Pia ameahidi kuboresha ...
Dar es Salaam. Watu wanne kati ya 14 wanatafutwa baada ya meli ya MV Jozani II kuzama maji katika maeneo ya Pwani ya Tanga usiku wa kuamkia Aprili 17, 2026. Taarifa kutoka Shirika la Uwakala wa Meli ...
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi ...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Chamwino, George Malima, ...
Beki wa kushoto wa Simba, Antony Mligo wakati akijaribu kumzuia mchezaji wa Namungo katika mechi ya Ligi Kuu iliyomalizika kwa Simba kushinda mabao 3-1 katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa. Picha na ...
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Manyara, Regina Mvungi akiwakabidhi zawadi ya majiko walimu wa Shule ya Wasichana Manyara. Manyara. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa majiko 30 ya umeme kwa walimu ...
Kiungo wa Man City, Bernardo Silva wakati akimzuia mshambuliaji wa Arsenal, Kai Harvert katika pambano la Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Etihad. Picha na Mtandao Manchester, England. Man City ...
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar imezitaka taasisi na mashirika ya umma kubadilika na kuanza kuchangamkia fursa zinazotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Hayo yamesemwa ...