Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Profesa Kitila Mkumbo akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 16, 2026 wakati wa Kikao cha ...
Muonekano wa eneo la kituo cha mabasi cha Rujewa Wilaya ya Mbarali huku ndani yake kukiwa na miundombinu ya soko la wajasiriamali .Picha na Hawa Mathias Mbeya. Wajasiriamali wa Soko la Rujewa wilayani ...
Meneja Usaidizi Uchumi na Takwimu BoT Mwanza, Paul Lawuo akizungumza wakati wa utoaji wa elimu kwa wananchi wilayani Magu kuhusu mambo ya kuzingatia kabla hawajakopa kupitia programu ya Zinduka ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekutana na mwakilishi wa Jumuiya ya Madola, ambaye pia ni Rais wa zamani wa Malawi, Lazarus Chakwera na ...
Watu wengi hutamani kufanikiwa kifedha na kufikia maisha yenye ustawi. Hata hivyo, mara nyingi watu hujiuliza kwa nini baadhi ya watu wanafanikiwa sana katika maisha ya kifedha wakati wengine wanabaki ...
Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani, Ashly Robinson (31), maarufu mtandaoni Ashlee Jenae. Zanzibar. Polisi visiwani Zanzibar limezungumzia kifo cha mwanaharakati wa mitandao ya ...
Yanga imeendelea kuwa tishio katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Alhamisi, Aprili 16, 2026 kuishushia Mbeya City kipigo kikali cha mabao 6-0 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam ...
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Aprili 15,2025, Sh166 bilioni zimelipwa kwa makandarasi wazawa. Kauli hiyo ya Ulega, inajibu hoja za ...
Unguja/Dar. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatambua mchango wa mwanamke katika kuleta maendeleo na itaendelea kuboresha mazingira ...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda akizungumza katika kikao cha wafanyabiashara mkoani Mara. Mara. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda ...
Washiriki wa kikao cha wenyeviti na makatibu wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kilichoandaliwa na idara ya habari ofisi ya msemaji mkuu wa Serikali, leo Jumatano Aprili 15, 2026 ...
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa mazingira wilayani Mbozi cha kujadili masuala ya ujenzi wa choo bora na utunzaji wa mazingira. Picha na Denis Sinkonde ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results