Manchester, England. Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire, amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo kwa muda wa mwaka mmoja na kumaliza sintofahamu iliyokuwa ikimzunguka kuhusu ...
Sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina imezusha mjadala mkali kimataifa kuhusu haki za binadamu na usawa wa sheria. Sheria iliyopitishwa na bunge la Israel ya kuhalalisha hukumu ya kifo kuwa adhabu ...
Imechapishwa 31.03.2026 Imechapishwa 31 Machi 2026 ilisahihishwa mwisho 31.03.2026 ilisahihishwa mwisho 31 Machi 2026 Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth na Mwenyekiti wa Wakuu wa Utumishi wa ...
AGIZO la mwaka 2021 la Rais, Samia Suluhu Hassan, la kuruhusu wanafunzi waliokatisha masomo, wakiwemo waliopata ujauzito, kurejea na kuendelea na elimu, limeanza kuzaa matunda. Maendeleo hayo ...
Bado haijabainika iwapo vilipuzi, ambavyo vinaweza kuzamisha meli za aina zote ikiwa vitalipuliwa, vimetegwa katika Mlango-Bahari wa Hormuz, kama sehemu ya mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati. Meli ...
DODOM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Bashiru Ally amezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Nchini (BMUs) ili kulinda rasilimali hizo ambazo ni muhimu katika kukuza ...
YANGA imetangaza imemrudisha Abdihamid Moalin na kumwongeza katika benchi la ufundi la timu hiyo kuwa msaidizi wa Pedro Goncalves ambaye inaelezwa anahesabu siku katika klabu hiyo kutokana na kile ...
Mwenyekiti wa maafisa usafirishaji mkoa wa Tabora Mrisho Shime akizungumza na vyombo vya habari juu ya marejeo ya matukio ya mauaji. Tabora. Chama cha Madereva Bodaboda Mkoa wa Tabora umewaonya ...