Vikosi vya usalama vya Tanzania vimechukua hatua kali dhidi ya maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa 2025 na kuua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki kwenye maandamano. Kuhusiana na ...
Mahakama Kuu ya Kisumu imeiamuru Serikali ya Kenya kuwalipa fidia ya jumla ya Ksh milioni 38.6 waathiriwa wa dhulma za polisi wakati wa maandamano ya mwaka 2023 yaliopaza sauti kufuatia kupaa kwa ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia gazeti la Serikali na kusainiwa na mwenyekiti wa tume hiyo jaji mstaafu Mohammed Chande Othman, hatua hii ilifuatia ombi lao la kutaka siku zaidi ili ...
Viongozi wakuu wa Muungano wa Upinzani wamemshutumu Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kwa kupuuza mkutano muhimu wa kiusalama katika Makao Makuu ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi, Jogoo House, ...
Rais wa Tanzania, Samiam Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mbunge wa Isimani na Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Sera, Uratibu, Bunge na Walemavu, William Lukuvi. Rais wa ...
DAR ES SALAAM, Tanzania — Landslides triggered by heavy rainfall have killed at least 20 people in southern Tanzania in recent days, authorities said, as the death toll from across the wider East ...
Miili hiyo inajumuisha watoto 25 nyengine nane ikiwa ni ya watu wazima kulingana na mamlaka kwenye eneo hilo. Imeripotiwa kwamba baadhi ya miili hiyo ilikuwa imeanza kuoza wakati nyengine ikiwa bado, ...
Rais wa Marekani amekuwa akisema kwa siku kadhaa kwamba mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanaendelea, lakini Iran imekanusha kuendelea kwa hatua hiyo. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, ...
Hatua hiyo inafuatia mwaliko wa Serikali ya Tanzania ambao ni sambamba na maagizo ya Baraza la EAC linalohitaji Jumuiya hiyo kufuatilia uchaguzi wa nchi zote wanachama. Na Mariam Mjahid & Asha Juma ...
Ephantus Karanja kushoto na Brian Mutuku maarufu Brayo kulia wakiwa katika kituo cha polisi cha Athiriver baada ya kukamatwa [File] Maafisa wa polisi katika eneo la Athi River, Kaunti ya Machakos, ...