Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Protas Mutayoba, amewakumbusha madereva wa magari ya polisi kuwa ajali nyingi zinaweza kuzuilika iwapo watazingatia sheria, kanuni na taratibu za usalama ...
Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha kwenye mtandao wa Truth, akionya: "Mfumo mzima utaangamizwa usiku wa leo, na hautarejeshwa tena". Na Asha Juma & Lizzy Masinga Chanzo cha picha, Reuters ...
Dar es Salaam. Kwa sasa D Voice kutokea WCB Wasafi, ni kati ya waimbaji wanaofanya vizuri katika muziki nchini akichanganya Bongofleva na Singeli, kitu kinachoonyesha ukubwa wa kipaji chake. Akiwa na ...
KATIKA kipindi ambacho sehemu mbalimbali za Afrika zinakumbwa na changamoto za migogoro, machafuko na mivutano ya kisiasa, Tanzania inaendelea kusimama kama mfano wa utulivu, mshikamano na uongozi ...
Mamlaka ya kupambana na rushwa nchini Afrika Kusini imewakamata maofisa 12 waandamizi wa polisi kwa tuhuma za rushwa na udanganyifu. Maofisa hao walifikishwa mahakamani Machi 25, 2026 katika mji mkuu, ...
Lejendari wa Bongofleva, Khalid Mohamed maarufu kisanii kwa jina la TID ameibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuzungumzia mwenendo wa utoaji wa nyimbo mpya kufuatia kuachiwa kwa wimbo wa ...
MATUMAINI ya Mkoa wa Kilimanjaro kupata timu ya Ligi Kuu Bara msimu ujao huenda yakatimia kutokana na kiwango kizuri kinachoonyeshwa hadi sasa na maafande wa Polisi Tanzania chini ya kocha mzoefu wa ...
Gari waliokuwa wanatumia madaktari waliopata ajali. Mwanza. Madaktari sita wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, wamepata ajali wakitokea kwenye kambi ya huduma ya matibabu, Wilaya ya ...
Mbali na kusababisha maafa, Tanzania imeshuhudia pia maporomoko ya udongo siku ya Jumatano katika mkoa wa Mbeya. Licha ya idadi ya watu waliopoteza maisha kufikia 20, kuna wasiwasi kuwa idadi hiyo ...
DAR ES SALAAM, Tanzania — Landslides triggered by heavy rainfall have killed at least 20 people in southern Tanzania in recent days, authorities said, as the death toll from across the wider East ...
Rais wa Marekani amekuwa akisema kwa siku kadhaa kwamba mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanaendelea, lakini Iran imekanusha kuendelea kwa hatua hiyo. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, ...
MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results