ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...
Askari Polisi namba F 6746, Sajenti Sufian, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni kuwa hakumpiga Nelson Jacob (32) alipokuwa akimchukua maelezo ya onyo kuhusiana na tuhuma za kughushi nyaraka za ...
Bibi mwenye umri wa miaka 60 na wajukuu zake watatu, wamenusurika kufa, baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuanguka ghafla katika eneo la Malindi, Mji Mkongwe Zanzibar. Tukio hilo la kushtua limetokea ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu jitihada za Watanzania kwenye kujenga taifa lao kwa nguvu na ...
Halima Matajiri (49), mkazi wa Mkundi Manispaa ya Morogoro, ameomba msaada wa zaidi ya sh. milioni tatu ili aweze kufanyiwa upasuaji wa jicho kufuatia kuugua saratani. Halima amesema amekuwa ...
SITISHO la mapigano kati ya Marekani na Iran limekuwa hatarini baada ya Marekani kusema imekamata meli ya mizigo ya Iran iliyojaribu kuvunja vizuizi vyake, huku Tehran ikiapa kulipiza kisasi huku ...
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezuia uhamisho wa walimu wa msingi na sekondari kufanyika katika wilaya zote mkoani kwake. Pia amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuwahamisha mjini walimu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results