SERIKALI imesema inawahitaji sana wataalam wa sayansi ya chakula ili kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa hapa nchini kwa faida ya wakulima na uchumi wa taifa. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya ...
MSHINDI wa Kombe la Dunia mara mbili na Brazil, Cafu amesema anaamini mashindano ya mwaka huu ni wakati muafaka kwa mabingwa hao mara tano kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka ...
NCHINI Kenya hivi leo kunatarajiwa kushuhudiwa maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta. Kwa sasa lita ya petroli inauzwa kwa Sh. 197.60 za Kenya (sawa na Sh. 3,953.7) wakati dieseli ikiuzwa ...
Jeshi la Magereza Zanzibar limefanikiwa kuwakamata wafungwa wanne waliotoroka Machi 19 mwaka huu, kufuatia operesheni maalum iliyoshirikisha vyombo vya ulinzi na usalama ndani na nje ya visiwa hivyo.
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu jitihada za Watanzania kwenye kujenga taifa lao kwa nguvu na ...
Halima Matajiri (49), mkazi wa Mkundi Manispaa ya Morogoro, ameomba msaada wa zaidi ya sh. milioni tatu ili aweze kufanyiwa upasuaji wa jicho kufuatia kuugua saratani. Halima amesema amekuwa ...
SITISHO la mapigano kati ya Marekani na Iran limekuwa hatarini baada ya Marekani kusema imekamata meli ya mizigo ya Iran iliyojaribu kuvunja vizuizi vyake, huku Tehran ikiapa kulipiza kisasi huku ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results