Dar es Salaam. Licha ya Bunge kuidhinisha fedha za kutunisha mfuko wa maendeleo ya vijana kwa mwaka wa fedha 2025/26, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imebaini Serikali ...
Morogoro. Serikali imesema inachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto ya mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Morogoro, ikiwamo kata za Kihonda na Lukobe. Pia ameahidi kuboresha ...
Dar es Salaam. Watu wanne kati ya 14 wanatafutwa baada ya meli ya MV Jozani II kuzama maji katika maeneo ya Pwani ya Tanga usiku wa kuamkia Aprili 17, 2026. Taarifa kutoka Shirika la Uwakala wa Meli ...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Chamwino, George Malima, ...
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi ...
Kiungo wa Man City, Bernardo Silva wakati akimzuia mshambuliaji wa Arsenal, Kai Harvert katika pambano la Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Etihad. Picha na Mtandao Manchester, England. Man City ...
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Manyara, Regina Mvungi akiwakabidhi zawadi ya majiko walimu wa Shule ya Wasichana Manyara. Manyara. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa majiko 30 ya umeme kwa walimu ...
Moja ya barabara inayotoka Mchinga 2 kuelekea kijiji cha Mvuleni Halmsashauri ya Manispaa ya Lindi. Lindi. Ubovu wa barabara umeendelea kuwa kilio kikubwa kwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya ...
Mwanza. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria kimeanza mchakato wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wa kanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ezekiel Wenje kabla ya kuhamia Chama cha ...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar akizungumza wakati alipoongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa uwekezaji ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Kimataifa la Business Council for International ...
Hatimaye kiu ya muda mrefu ya mashabiki wa Coventry City imetamatika baada ya klabu hiyo kufanikiwa kurejea katika Ligi Kuu England (EPL) kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2000/2001. Chini ya kocha ...
Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani, Ashly Robinson (31), maarufu mtandaoni Ashlee Jenae. Zanzibar. Polisi visiwani Zanzibar limezungumzia kifo cha mwanaharakati wa mitandao ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results