Dar es Salaam. Daktari Livin Mumburi ameandika historia mpya nchini baada ya kuwa daktari bingwa wa kwanza wa magonjwa ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa watoto, katikati ya changamoto ya magonjwa ...
Dar es Salaam. Licha ya Bunge kuidhinisha fedha za kutunisha mfuko wa maendeleo ya vijana kwa mwaka wa fedha 2025/26, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imebaini Serikali ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia sherehe ya maadhimisho ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na ...
Morogoro. Serikali imesema inachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto ya mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Morogoro, ikiwamo kata za Kihonda na Lukobe. Pia ameahidi kuboresha ...
Dar es Salaam. Watu wanne kati ya 14 wanatafutwa baada ya meli ya MV Jozani II kuzama maji katika maeneo ya Pwani ya Tanga usiku wa kuamkia Aprili 17, 2026. Taarifa kutoka Shirika la Uwakala wa Meli ...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Chamwino, George Malima, ...
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi ...
Mtaalamu wa lugha ya Alamance, Agnes Mweta akizungumzia umuhimu wa lugha ya alama mbele ya Naibu Waziri wa Afya, Florence Samizi mkoani Arusha, Aprili 19, 2026. Picha na Filbert Rweyemamu Arusha.
Kiungo wa Man City, Bernardo Silva wakati akimzuia mshambuliaji wa Arsenal, Kai Harvert katika pambano la Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Etihad. Picha na Mtandao Manchester, England. Man City ...
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Manyara, Regina Mvungi akiwakabidhi zawadi ya majiko walimu wa Shule ya Wasichana Manyara. Manyara. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa majiko 30 ya umeme kwa walimu ...
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar imezitaka taasisi na mashirika ya umma kubadilika na kuanza kuchangamkia fursa zinazotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Hayo yamesemwa ...
Moja ya barabara inayotoka Mchinga 2 kuelekea kijiji cha Mvuleni Halmsashauri ya Manispaa ya Lindi. Lindi. Ubovu wa barabara umeendelea kuwa kilio kikubwa kwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results