Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Segera - Buiko iliyopo wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Chanzo cha picha, EAC Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni ...
Sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina imezusha mjadala mkali kimataifa kuhusu haki za binadamu na usawa wa sheria. Sheria iliyopitishwa na bunge la Israel ya kuhalalisha hukumu ya kifo kuwa adhabu ...
Imechapishwa 31.03.2026 Imechapishwa 31 Machi 2026 ilisahihishwa mwisho 31.03.2026 ilisahihishwa mwisho 31 Machi 2026 Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth na Mwenyekiti wa Wakuu wa Utumishi wa ...
Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, CHADEMA kimesema hakitaendelea kumpigia magoti Rais wa nchi hiyo, Samia Hassan Suluhu kuhusu mustakabali wa taifa hilo. Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, ...
AGIZO la mwaka 2021 la Rais, Samia Suluhu Hassan, la kuruhusu wanafunzi waliokatisha masomo, wakiwemo waliopata ujauzito, kurejea na kuendelea na elimu, limeanza kuzaa matunda. Maendeleo hayo ...
DODOM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Bashiru Ally amezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Nchini (BMUs) ili kulinda rasilimali hizo ambazo ni muhimu katika kukuza ...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni ratiba na ramani kamili ya mchakato wa kupata Katiba Mpya, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kufanikisha mabadiliko ya ...
Bado haijabainika iwapo vilipuzi, ambavyo vinaweza kuzamisha meli za aina zote ikiwa vitalipuliwa, vimetegwa katika Mlango-Bahari wa Hormuz, kama sehemu ya mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati. Meli ...
Kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Miji 28 kunatarajiwa kunusuru maisha ya wananchi wa Mji wa Kasulu kwa kuwapatia maji safi na salama karibu na makazi yao, kupunguza magonjwa yatokanayo na maji na ...
Mwenyekiti wa maafisa usafirishaji mkoa wa Tabora Mrisho Shime akizungumza na vyombo vya habari juu ya marejeo ya matukio ya mauaji. Tabora. Chama cha Madereva Bodaboda Mkoa wa Tabora umewaonya ...
YANGA imetangaza imemrudisha Abdihamid Moalin na kumwongeza katika benchi la ufundi la timu hiyo kuwa msaidizi wa Pedro Goncalves ambaye inaelezwa anahesabu siku katika klabu hiyo kutokana na kile ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results