Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
Askari Polisi namba F 6746, Sajenti Sufian, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni kuwa hakumpiga Nelson Jacob (32) alipokuwa akimchukua maelezo ya onyo kuhusiana na tuhuma za kughushi nyaraka za ...
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezuia uhamisho wa walimu wa msingi na sekondari kufanyika katika wilaya zote mkoani kwake. Pia amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuwahamisha mjini walimu ...
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has tasked Chief Secretary Dr Moses Kusiluka with directly overseeing the implementation of recommendations issued by three oversight institutions, namely the Controller ...
Wakati idadi ya kunguru ikiendelea kuongezeka kwa kasi visiwani Zanzibar na kuanza kuwa tishio kwa mazingira, afya za wananchi na shughuli za kiuchumi, mamlaka zimeanza kuchukua hatua madhubuti ...
Serikali imesema inaendelea kuimarisha uwezo wa ndani katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI kwa kutafuta vyanzo vya fedha vya ndani kupitia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI. Akizungumza bungeni ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu jitihada za Watanzania kwenye kujenga taifa lao kwa nguvu na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results