Halima Matajiri (49), mkazi wa Mkundi Manispaa ya Morogoro, ameomba msaada wa zaidi ya sh. milioni tatu ili aweze kufanyiwa upasuaji wa jicho kufuatia kuugua saratani. Halima amesema amekuwa ...
SITISHO la mapigano kati ya Marekani na Iran limekuwa hatarini baada ya Marekani kusema imekamata meli ya mizigo ya Iran iliyojaribu kuvunja vizuizi vyake, huku Tehran ikiapa kulipiza kisasi huku ...
Wananchi wa Kata ya Sinza, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, wameeleza hofu juu ya mpango wa serikali wa kuunganisha viwanja vyao kwa ajili ya ujenzi wa maghorofa marefu, wakihofia kupoteza ...
REAL Madrid imebaki juu kwenye orodha ya klabu ya soka tajiri zaidi duniani, huku Liverpool ikiwazidi wapinzani wake wa Ligi Kuu England, EPL, kwa mara ya kwanza, kwa mujibu wa utafiti wa Deloitte, ...
BAADHI ya watumishi wa Halmashauri ya Msalala, Kahama mkoani Shinyanga, wanadaiwa kuhujumu zaidi ya Sh. milioni 39 walizotakiwa kuwapatia wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Fedha hizo ...
Mwanamke Mogatosilebo akiwa na wanaume wake katika picha mbalimbali za pamoja, ambazo amezichapisha kwenye mtandao wake wa kijamii. MWANAMKE mmoja huko nchini Kenya amewaacha watumiaji wa mitandao ya ...
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, imeanza Ijumaa iliyopita ikiwa na makocha 10 wakuu wa kigeni huku wazawa wakiwa sita tu ambapo jumla ya timu 16 zitakuwa na safari ndefu ya msimu mzima kusaka ...
Upanuzi wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold- New Luika kwa miaka mitano zaidi kutoka mwaka 2029 kufikia 2034. Aidha, kupitia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results